Ndiyo, kukopesheka ni suala la kujivunia.
Inaitwa "creditworthiness".
Nchi kama Marekani kuna mpaka credit score, ukiwa nayo kubwa hata mikopo unapewa kwa interest ndogo zaidi. Unaaminika utalipa kutokana na credit record yako.
Ila, ukiendelea kukopa kila siku kwa kutamba unakopesheka, bila kulipa madeni vizuri, siku moja utakuwa hukopesheki.