Shabdullah
Member
- Feb 17, 2020
- 65
- 52
Asante sana mkuuKuweza unaweza lakini ni lazima kufanya hivyo mkuu?
Tunajua unashawishiwa na uchungu wa kuachana nae (hata kama utabisha ila huu ndio ukweli) ila mambo mengine ni kuacha tu mkuu. Yeye sio wa kwanza kwako na pengine hatakuwa wa mwisho, mimi kama mkubwa wako nakushauri achana nae. Ni ngumu na inauma ila dawa ya kweli hapo ni kumpotezea.
Asante
Utapeli ulikua hivi.[emoji116][emoji116]Kutapeli ni kosa la jinai na ikithibitishwa anaweza kufungwa si chini ya miaka 3 jela.. Alikutapelije?
Mmh pole sana ila hapo ni ngumu sana kumshtaki na kumtia hatiani..huo utapeli sio wa moja kwa moja kwakuwa kwanza ulitoa ukiwa kama mpenzi wake lakini pia 'principal money' ya manunuzi alitoa yeye na sio wewe.. Pia haukuwa mkopo bali alikuwa anakuomba 'assist kama mpenzi'Utapeli ulikua hivi.[emoji116][emoji116]
Nilianzisha mahusiano nae nikiwa kwenye plan ya kuanzisha office ya kazi na nilijichanga sana kutafuta hela kwa ajili ya lan hio.
Mimi nilikua muwazi kuhusu plan yangu hio na niliamini kua ni mwenza wangu wa maisha.
Mimi nilimuamini kwasababu ya upendo wetu na jinsi tulivokua tunatambulishana kwa ndugu zetu nimeenda kwa ndugu zake.
Utapeli upo hapa [emoji116][emoji116]
Alinambia kuna nyumba kanunua hivi karibuni na alikua analipia kwa awamu, muda huo niloanzasha mahusiano nae ndo alikua anakaribia kumaliza deni hilo.
Lakini yeye anaishi nyumbani kwao na nyumba tayari amekabidhiwa, hapo kwenye nyumba aloinunua alimuacha kaka mmoja awe anaishi ili nyumba iwe na mtu, kaka huyo alikua pia anashughulika na mambo yote ya pale.
Aliichokua anakifanya ananipigia simu mimi kuniambia nimtumie hela kaka ili baadhi ya mahitaji yafanikiwe, nilikua natoa hela kwasababu aliniaminisha kua hela zake zote alizitumia kwaajili ya kununua nyumba hio na mimi nilikua nampatia hizo hela hizo alizohitaji muda huo.
Nikimwambia nataka kuiona nyumba hio alinambia kua anaitaji anifanyie saprazi, kwahio sikupata kuiona nyumba hio, nipo nasubiria sapraizi lakini muda umekua mrefu.
Kisha nikagundua kua kumbe hakununua nyumba na hakuna kaka bali nilikua namtumia hela wakala wa Mpesa ambae yupo karibu nae nayy anaenda kuzifata hela hizo. Nikajaribu kupiga namba za mtu ambae alikua ananitumia ili nitume hela kwa namba hio, nikapata ukweli wote kuhusu yeye. Kiukweli alidanganya kila kitu na kikubwa zaidi alinitapeli. Ushahidi wa maongezi yetu wote upo kwa voce call hadi kwa text.
Kwangu mm nilikua na kazi na seheme yangu ya kazi, bali nilikua sina mwenza muda huo
Alitumia njia hio mkuu
Utapeli ulikua hivi.[emoji116][emoji116]

We ni boya am sorry to say soUtapeli ulikua hivi.[emoji116][emoji116]

Pole sana ila kimsingi hapa kesi hakuna tena ukiifikisha kwa maafande tu kitu ambacho watakwambia hebu mkayamalize nyumbani tu πππ sema siku ingine inatakiwa ukinunua kitu na mpenzi wako uhakikishe upo nae sio unatuma hela kizembe tu!Utapeli ulikua hivi.[emoji116][emoji116]
Nilianzisha mahusiano nae nikiwa kwenye plan ya kuanzisha office ya kazi na nilijichanga sana kutafuta hela kwa ajili ya lan hio.
Mimi nilikua muwazi kuhusu plan yangu hio na niliamini kua ni mwenza wangu wa maisha.
Mimi nilimuamini kwasababu ya upendo wetu na jinsi tulivokua tunatambulishana kwa ndugu zetu nimeenda kwa ndugu zake.
Utapeli upo hapa [emoji116][emoji116]
Alinambia kuna nyumba kanunua hivi karibuni na alikua analipia kwa awamu, muda huo niloanzasha mahusiano nae ndo alikua anakaribia kumaliza deni hilo.
Lakini yeye anaishi nyumbani kwao na nyumba tayari amekabidhiwa, hapo kwenye nyumba aloinunua alimuacha kaka mmoja awe anaishi ili nyumba iwe na mtu, kaka huyo alikua pia anashughulika na mambo yote ya pale.
Aliichokua anakifanya ananipigia simu mimi kuniambia nimtumie hela kaka ili baadhi ya mahitaji yafanikiwe, nilikua natoa hela kwasababu aliniaminisha kua hela zake zote alizitumia kwaajili ya kununua nyumba hio na mimi nilikua nampatia hizo hela hizo alizohitaji muda huo.
Nikimwambia nataka kuiona nyumba hio alinambia kua anaitaji anifanyie saprazi, kwahio sikupata kuiona nyumba hio, nipo nasubiria sapraizi lakini muda umekua mrefu.
Kisha nikagundua kua kumbe hakununua nyumba na hakuna kaka bali nilikua namtumia hela wakala wa Mpesa ambae yupo karibu nae nayy anaenda kuzifata hela hizo. Nikajaribu kupiga namba za mtu ambae alikua ananitumia ili nitume hela kwa namba hio, nikapata ukweli wote kuhusu yeye. Kiukweli alidanganya kila kitu na kikubwa zaidi alinitapeli. Ushahidi wa maongezi yetu wote upo kwa voce call hadi kwa text.
Kwangu mm nilikua na kazi na seheme yangu ya kazi, bali nilikua sina mwenza muda huo
Alitumia njia hio mkuu
Hahahaha kwahio huyu ni mwamba ndio analia lia π ??? Mi nilijua manz ndio kapigwa dahSema mnapopigwa na pisi mnakuja na ID mpya mpya...
Asa tutakujaje na zile ID zetu tunazojimwambafaigi kwamba sisi daily tunakula kimasihara 2?Sema mnapopigwa na pisi mnakuja na ID mpya mpya...
Utapeli ulikua hivi.[emoji116][emoji116]
Nilianzisha mahusiano nae nikiwa kwenye plan ya kuanzisha office ya kazi na nilijichanga sana kutafuta hela kwa ajili ya lan hio.
Mimi nilikua muwazi kuhusu plan yangu hio na niliamini kua ni mwenza wangu wa maisha.
Mimi nilimuamini kwasababu ya upendo wetu na jinsi tulivokua tunatambulishana kwa ndugu zetu nimeenda kwa ndugu zake.
Utapeli upo hapa [emoji116][emoji116]
Alinambia kuna nyumba kanunua hivi karibuni na alikua analipia kwa awamu, muda huo niloanzasha mahusiano nae ndo alikua anakaribia kumaliza deni hilo.
Lakini yeye anaishi nyumbani kwao na nyumba tayari amekabidhiwa, hapo kwenye nyumba aloinunua alimuacha kaka mmoja awe anaishi ili nyumba iwe na mtu, kaka huyo alikua pia anashughulika na mambo yote ya pale.
Aliichokua anakifanya ananipigia simu mimi kuniambia nimtumie hela kaka ili baadhi ya mahitaji yafanikiwe, nilikua natoa hela kwasababu aliniaminisha kua hela zake zote alizitumia kwaajili ya kununua nyumba hio na mimi nilikua nampatia hizo hela hizo alizohitaji muda huo.
Nikimwambia nataka kuiona nyumba hio alinambia kua anaitaji anifanyie saprazi, kwahio sikupata kuiona nyumba hio, nipo nasubiria sapraizi lakini muda umekua mrefu.
Kisha nikagundua kua kumbe hakununua nyumba na hakuna kaka bali nilikua namtumia hela wakala wa Mpesa ambae yupo karibu nae nayy anaenda kuzifata hela hizo. Nikajaribu kupiga namba za mtu ambae alikua ananitumia ili nitume hela kwa namba hio, nikapata ukweli wote kuhusu yeye. Kiukweli alidanganya kila kitu na kikubwa zaidi alinitapeli. Ushahidi wa maongezi yetu wote upo kwa voce call hadi kwa text.
Kwangu mm nilikua na kazi na seheme yangu ya kazi, bali nilikua sina mwenza muda huo
Alitumia njia hio mkuu
Nimecheka hapo kwenye assist[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmh pole sana ila hapo ni ngumu sana kumshtaki na kumtia hatiani..huo utapeli sio wa moja kwa moja kwakuwa kwanza ulitoa ukiwa kama mpenzi wake lakini pia 'principal money' ya manunuzi alitoa yeye na sio wewe.. Pia haukuwa mkopo bali alikuwa anakuomba 'assist kama mpenzi'