Je, naweza kumshitaki aliyekuwa mpenzi wangu kwa kunitapeli tukiwa bado pamoja?

Nipo sumbawanga ndugu mleta mada nipe tenda suala lako tukalishitaki mahakama za jadi
 
Habari zenu wanajukwaa.

Naomba kuuliza swali kwenu.

Je, naweza kumshitaki aliekua mpenzi wangu kwa kosa la kunitapeli kipindi cha mahusiano yetu kwa kitumia uongo kwa lengo la kufanya utapeli huo?

Kwa ambao wanaweza kuchangia naomba ufafanuzi?
Nadhani tatizo lilianzia hapa
 
Hakunaga makubaliano ya pesa palipo na mapenz

Viwili hivi huwa havichanganyiki[emoji4]
 
Yanatukuta Sana wanaume Kwenye mahusiano.

Unamgharamia mwanamke Sana afu ghafla anakwambia TUACHANE. Na kweli mnaachana.

Na huwez tena kudai urudishiwe vitu ulivomzawadia.
 
Miaka imekwenda wapi Mamndenyi
 
WE BWEGE KWELI....ulikuwa unamkaza bure........wewe ni wa kuzaba kibao....pumbafu sana....kila siku tunawafundisha hapa.....jengea nyuma MAMA yako...na sio DEMU-tambara la deki.......
 
Yanatukuta Sana wanaume Kwenye mahusiano.

Unamgharamia mwanamke Sana afu ghafla anakwambia TUACHANE. Na kweli mnaachana.

Na huwez tena kudai urudishiwe vitu ulivomzawadia.

Aisee ni kweli yan ivi viumbe duh [emoji119][emoji119][emoji119]basi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…