Je, naweza kuomba chuo tena baada ya kumaliza mosomo kama mwaka wa kwanza?

Je, naweza kuomba chuo tena baada ya kumaliza mosomo kama mwaka wa kwanza?

KIBEBENYEKE

New Member
Joined
Jun 22, 2021
Posts
4
Reaction score
2
Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
 
Kama huja graduate jina lako bado litakua kwenye mfumo, ni ngumu hii...

Japo yaweza kua rahisi sababu asaivi app zinafanyika vyoni moja kwa moja sio TCU.
 
Kwa kujilipia inawezekana kabisa,hata ukasoma mara nyi gi iwezekanavyo ilimradi ni kozi nyingine.Ila kwa mkopo haipo hiyo sababu Board jina lako lipo.Ukiingiza tu inex namba yako jina lenyewe linatokeza
 
Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni uko Bado sijagraduenti.
Muwe mnachagua kozi mnazopenda sio unasoma tu kwa sababu umepewa mkopo.
 
Inawezekana, kuna jamaa nakumbuka alikuwa anasoma hivyo hivyo unavyotaka kufanya wewe. Kikubwa degree ya pili hakuna heslb.
 
Inawezekana, kuna jamaa nakumbuka alikuwa anasoma hivyo hivyo unavyotaka kufanya wewe. Kikubwa degree ya pili hakuna heslb.
Hata kama sijawahi kupata mkopo kwenye degree ya kwanza niliyosoma je yapili siwezi kupata mkopo pia nikiomba
 
Back
Top Bottom