Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
Kwa kujilipia inawezekana kabisa,hata ukasoma mara nyi gi iwezekanavyo ilimradi ni kozi nyingine.Ila kwa mkopo haipo hiyo sababu Board jina lako lipo.Ukiingiza tu inex namba yako jina lenyewe linatokeza
Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni uko Bado sijagraduenti.