Habari wana jamvi kuna mdau anauliza yeye ni mfanyakazi katika wizara moja hapa nchini na ndio kwanza ana miezi nane kazini sasa ameona tangazo la Ajira sekretarieti ya Ajira katika taasisi moja ya elimu ya juu anauliza vipi anaweza kuomba?
Au mpaka asubiri ipite miaka mitatu
Karibuni ma HRO na Administration officers
Au mpaka asubiri ipite miaka mitatu
Karibuni ma HRO na Administration officers