Anaomba vizuri ila barua yake ya maombi ipite kwa mkurugenzi kwake.Habari Wana jamvi Kuna mdau anauliza yeye ni mfanyakazi katika wizara moja hapa nchini na ndio kwanza ana miezi nane kazini sasa ameona tangazo la Ajira sekretarieti ya Ajira katika taasisi moja ya elimu ya juu anauliza vipi anaweza kuomba?
Au mpaka asubiri ipite miaka mitatu
Karibuni ma HRO na Administration officers
mwambie aache tamaaHabari Wana jamvi Kuna mdau anauliza yeye ni mfanyakazi katika wizara moja hapa nchini na ndio kwanza ana miezi nane kazini sasa ameona tangazo la Ajira sekretarieti ya Ajira katika taasisi moja ya elimu ya juu anauliza vipi anaweza kuomba?
Au mpaka asubiri ipite miaka mitatu
Karibuni ma HRO na Administration officers
Soma Tangazo.Habari Wana jamvi Kuna mdau anauliza yeye ni mfanyakazi katika wizara moja hapa nchini na ndio kwanza ana miezi nane kazini sasa ameona tangazo la Ajira sekretarieti ya Ajira katika taasisi moja ya elimu ya juu anauliza vipi anaweza kuomba?
Au mpaka asubiri ipite miaka mitatu
Karibuni ma HRO na Administration officers
HahaaaSoma Tangazo.
Huwa wanaandika, wanaoomba wakiwa tayari na kazi, basi barua zao zipitie kwa waajiri wao..
Mtu yupo wizarani alafu hajui hili?
Alikuwa akifanya kazi kwenye taasisi binafsi bila shaka.Leo hii tumetoka kujadili na jamaa mmoja.
Kaomba kazi huku hajaacha kazi.
Bosi akapiga huko hajaacha kazi kuuliza ref.
Badae jamaa kala za uso kwa kazi zote 2.
Alikua analia,huku anacheka analia tena huku anacheka.
Mi kazi yangu ilikua kumpa tu chai ya pilipili na maji.
Omba fomu ya kugombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi. sisi tutakupa full supportHabari Wana jamvi Kuna mdau anauliza yeye ni mfanyakazi katika wizara moja hapa nchini na ndio kwanza ana miezi nane kazini sasa ameona tangazo la Ajira sekretarieti ya Ajira katika taasisi moja ya elimu ya juu anauliza vipi anaweza kuomba?
Au mpaka asubiri ipite miaka mitatu
Karibuni ma HRO na Administration officers
Ni binafsi mkuu,katoka Iran au Lebanon alipotakiwa kuanza kazi leo ni jela na mahakama.Alikuwa akifanya kazi kwenye taasisi binafsi bila shaka.
Omba sasa hiyo kazi, upunguze nongwa.Mwambie atuachie na sie ma jobless aache tamaa boya huyo
πHabari Wana jamvi Kuna mdau anauliza yeye ni mfanyakazi katika wizara moja hapa nchini na ndio kwanza ana miezi nane kazini sasa ameona tangazo la Ajira sekretarieti ya Ajira katika taasisi moja ya elimu ya juu anauliza vipi anaweza kuomba?
Au mpaka asubiri ipite miaka mitatu
Karibuni ma HRO na Administration officers
ππππMfanyakazi gani anaweza acha kazi Wizarani akaenda kwenye Taasisi ya Elimu?
Ni taasisi gani hiyo ya Elimu inaweza kuwa na posho kuliko Wizara??
Au ndio wale wanaofanya kazi Ofisi ya Rais-Shule ya Msingi Kigurunyembe?????
Wamesema watatoa only one form for SSHOmba fomu ya kugombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi. sisi tutakupa full support
Kuna watu waliomba Kazi kwakuwa ni jobless sasa hivi zinawatesa mkuuDah ila sisi watu sisi dah, mtu ana kazi lkn anaenda kuziba riziki ya jobless π
Anyway, Inawezekana ila kama muajiri wako akiwa hana roho mikunjo.
Ila c bora kdg kuliko kukosa kabisa, tatizo ukishakuwa na kazi ndio unaiona mbayaKuna watu waliomba Kazi kwakuwa ni jobless sasa hivi zinawatesa mkuu
Asante mkuuAnaomba vizuri ila barua yake ya maombi ipite kwa mkurugenzi kwake.
Unaruhusiwa kuomba kazi ajira portal kwa maana ifuatayo
1. Ikiwa kazi unayoomba ni tofauti na uliyonayo.
Mfano:- wewe ni mwalimu unaomba kazi ya ulecturer
2. Ikiwa kazi unayoomba ni tofauti na ufanyayo.
Mfano:- Wewe ni mwalimu ila una vyeti vya economics, basi unaweza omba kazi ya mchumi
3. Ikiwa ni nafasi ya uhamisho.
All ni all LAZIMA UIPITISHE KWA MKURUGENZI NA ASAINI.
#YNWA