je naweza kuongezeka urefu nikiwa na umri wa miaka 21?

Tagawa Mwakitombile

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
464
Reaction score
393
habari wana jf?

Mm ni mfupi kwa umbo kwani nina urefu wa kama cm 155 na uzito wa kg 47 je naweza nikaongezeka urefu na uwe na uwiano sawa na kilozangu?

Kama inawezekana ni vyakula vya aina zipi natakiwa nile kwa wingi?

Thnk's in advance#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…