Je, naweza kupanda vitunguu maji kwenye bustani yangu ya nyumbani?

Je, naweza kupanda vitunguu maji kwenye bustani yangu ya nyumbani?

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
666
Poleni na majukumu!

Samahani sina experience yoyote kwenye ukulima hivyo naomba ushauri wenu.

Napanda mbogamboga kama matembele na mboga za maboga, bamia hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu! Nawekaga mbolea ya mavi ya kuku au ya ng'ombe na namwagilia tu na maji kawaida. Nashkuru napata kula na wanangu na majirani pia.

Nimefkiria kupanda na vitunguu maji. Je, inawezekana vikaota? Na naanzaje kupanda? Wapi nitapata mbegu?

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom