Je, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?

Mapso

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2020
Posts
400
Reaction score
584
Habari za muda huu wakuu nina Degree,

Je, naweza kuomba ajira za magereza kwa kigezo cha form four na kutakua na uwezekano wa kupanda cheo hapo baadae kutokana na elimu niloyonayo? Vigezo vyote ninavyo kama JKT.

Nawasilisha
 
Habari za muda huu wakuu nina Degree, je naweza kuomba ajira za magereza kwa kigezo cha form four na kutakua na uwezekano wa kupanda cheo hapo baadae kutokana na elimu niloyonayo? Vigezo vyote ninavyo kama jkt. Nawasilisha
jkt kwa mujibu.....au kujitolea?

But mi naona unaweza kuomba kwa kutumia cheti cha form 4......Kuhusu kupanda cheo itakuwa ngumu Sana labda baadae.....coz wamelenga watu wa 4 ili kupunguza cost za kuwalipa
 
Wakuu hivi mtu ambaye hakwenda JKT anaweza kuomba hi kazi akabahatika ?
 
jkt kwa mujibu.....au kujitolea?

But mi naona unaweza kuomba kwa kutumia cheti cha form 4......Kuhusu kupanda cheo itakuwa ngumu Sana labda baadae.....coz wamelenga watu wa 4 ili kupunguza cost za kuwalipa
Kwa mujibu form6
 
Habari za muda huu wakuu nina Degree, je naweza kuomba ajira za magereza kwa kigezo cha form four na kutakua na uwezekano wa kupanda cheo hapo baadae kutokana na elimu niloyonayo? Vigezo vyote ninavyo kama jkt. Nawasilisha

Utasemaje ulienda JKT na hapo hapo ni form four?
Maana program ya JKT ni kwa ajili ya form six

Sitaki kukukatisha tamaa nenda kajaribu zali
 
Kuna anaefaham namna ya kuandika barua. Barua inaandikwa kwa mkono au chapisho na passport unabandikaje
 
Utasemaje ulienda JKT na hapo hapo ni form four?
Maana program ya JKT ni kwa ajili ya form six

Sitaki kukukatisha tamaa nenda kajaribu zali
Usikariri mujibu wa sheria sio kwa ajili ya form six tu

Mimi mujibu tulikuwa na watu diploma , degree ,kuna wengine waliamua kuomba kwenda walikuwa form 4 tena unaomba makao
 
Habari za muda huu wakuu nina Degree,

Je, naweza kuomba ajira za magereza kwa kigezo cha form four na kutakua na uwezekano wa kupanda cheo hapo baadae kutokana na elimu niloyonayo? Vigezo vyote ninavyo kama JKT.

Nawasilisha
Baadae ukisha maliza kozi wakitaka kusajili vyeti vyako vilete vyote

Mambo yanakuwa bulbul
 
Back
Top Bottom