Je, naweza kupata ajira magereza kwa cheti cha kidato cha nne?

Kaka mi nimeomba magereza kwa Chet Cha form four ,lkn pia Nina cheti cha kilimo Cha degree,kwahyo nikimalizaa coz tukiambiwa tupeleke vyeti vyote, haitakuwa na ugumu wowotee??,yyte mwenye jibu wwkuu
 
Wakuu hivi mtu ambaye hakwenda JKT anaweza kuomba hi kazi akabahatika ?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Pole mkuu hapana

Jaribu lakini
Kile cheti ni kama uthibitisho hili jamaa ni ngangari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…