Kama unaweza ongeza kidogo 900k mpaka 950k go with i3 10th gen unapata mpya.Heshima kwenu watalaamu wa jukwaa hili.
Nina Budget ya 800K ninahitaji laptop..
Majukumu maalum ni kama Kutumia Softwares kama AUTOCAD, CIVIL 3D, STAAD PRO, MATLAB na program baadhi za Engineering ambazo sijazitaja.
Nahitaji laptop bora kwa hio gharama kikubwa iweze kurun hizo programs smoothly.
Pia kukiwa na machine bora ila bei imezidi slightly unaweza ku suggest.
Ningefurahi zaidi kupata na specifications na aina ya mashine ili niiweke katika shortlist.
Cc: Chief-Mkwawa Behaviourist Extrovert
Mkuu ni vitu gani huwa vinafanya core kuwa na nguvu,yaani nitajuaje kuwa core hii ina nguvu na core ile haina nguvu?Nilikuwa sijua kuwa unaweza kuwa na core nyingi ambazo hazina nguvu!Kama unaweza ongeza kidogo 900k mpaka 950k go with i3 10th gen unapata mpya.
Hizi Cad softwares zinataka core 1 yenye nguvu badala ya core nyingi hivyo it doesn't matter kama ni dual core ama core 8.
Kupata dedicated Gpu ni bonus japo kwa budget yako labda used,
Display ya 1080p Pia wameieka kama recommendation, unaweza tumia Pia monitor ya nje, Sema ni vyema display ya laptop ikawa na hii resolution.
Kwa used gen ya 8 unapata hii budget na low end nvidia kama 930mx ama 940mx hivi. Naziona i5 8th gen kwa hii bei zoom Tanzania.
Mkuu ni vitu gani huwa vinafanya core kuwa na nguvu,yaani nitajuaje kuwa core hii ina nguvu na core ile haina nguvu?Nilikuwa sijua kuwa unaweza kuwa na core nyingi ambazo hazina nguvu!
Njia rahisi Ni kuangalia benchmarks, benchmark nyingi maarufu kama cinebench, geek bench, passmark etc zinatofautisha score za single thread benchmark na multithread.Mkuu ni vitu gani huwa vinafanya core kuwa na nguvu,yaani nitajuaje kuwa core hii ina nguvu na core ile haina nguvu?Nilikuwa sijua kuwa unaweza kuwa na core nyingi ambazo hazina nguvu!
Shukrani mkuu!Njia rahisi Ni kuangalia benchmarks, benchmark nyingi maarufu kama cinebench, geek bench, passmark etc zinatofautisha score za single thread benchmark na multithread.
Vitu vinavyo fanya core kuwa na nguvu kushinda nyengine ni
-clock speed, yenye GHz kubwa ina nguvu kushinda GHz ndogo (factor nyengine zikiwa sawa)
-cache memory, zile l2 na l3 cache zikiwa kubwa na zenye speed na nguvu ya cpu inaongezeka
-architecture iliotumika (hizi generation)
-IPC ambayo ni kiasi gani cha instruction cpu inaweza fanya kwenye kila cycle (hizo GHz)
-manufacturing process ambayo jinsi inavyokuwa ndogo Ndio jinsi wanavyo jazia transistor nyingi kwenye cpu.
Shukrani mkuu,haya mambo ni too technique!Core ni kma procoessor iliyopo ndani ya CPU. Hizi core ndio zinafanya hzo instructions zinazohitajika kurun program flan. Nguvu ya core inakuwa determined kwa kupima Instructions per cycle (IPC), hii ni idadi ya maelekezo core yako inaweza fanya kwa mzunguko mmoja wa CPU (mzunguko mmoja wa CPU clock speed). IPC ndio muhim sana, core mbili tofaut kutoka processor mbili tofaut zinaweza kuwa na clock speed sawa (mf 1GHz) ila moja ikawa na 2000IPC na nyingine ikawa na 1000IPC ile ya 2000 IPC ndio yenye nguvu. Lakini kumbuka kuwa clock speed bado ni muhimu, kma CPU zote ni za class moja na generation sawa ile yenye clock speed kubwa ndio itakuwa na nguvu zaidi.
Sasa je ni kitu gani kinachangia core/processor kuwa na IPC kubwa kuliko nyingine?
Cha kwanza ni number ya transistors, kila processor ina transistors ndani yake ambazo ndio zinarun hzo instructions. Core moja inaweza kuwa na transistors nyingi kuliko nyingine. Yenye transistor nyingi itakua na IPC kubwa.
Pili ni size ya core hyo. Core kubwa inamaanisha kuwa inaweza beba transistors na nodes nyingi zaidi. Ndio maana zile Xeon processors za kwenye servers zinakuwa na core zenye nguvu sana
Kingine pia ni kwamba fabrication method (njia inayotumika kutengeneza processor) inachangia uwepo wa transistors na nodes nyingi. Kma ukicheki kwenye processor specification utakuta hchi kitu kimenadikwa: 10nm or 7nm or 5nm. Hichi ni kipimo cha udogo wa components (transistors and nodes) zilizopoa kwenye processor. Uwepo wa components ndogo inawezesha kuweka transistors and nodes nyingi kwenye processor yako na kupandisha IPC kwa kila core.
Pia processor zenye clock speed ndogo zinaweza kuwa na IPC kubwa sababu ya joto linalotengezwa. Processor zenye clock speed kubwa zinatengeza joto jingi na hii inalimit ufanyaji kazi wa transistors hvyo kuwa na IPC ndogo. Ila ukiwa na clock speed ndogo unaweza pandisha IPC yako sababu joto sio jingi sana. Ndio maana unakuta 10th gen i3 yenye clock speed ya 1.4ghz inaikalisha 3rd gen i7 yenye clock speed ya 2.7ghz kwenye single core performance.
Ukitaka details zaidi soma hizi sehemu mbil:
1.
2. Instructions per cycle - Wikipedia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mambo ya cores pamoja na clock speed kwa sasa hivi nayapata vizuri lakini IPC bado.Je mpaka sasa hivi IPC kubwa kuliko zote kwa laptop ni ngapi na ndogo kupita zote ni ngapi ili niwe na average kichwani?Njia rahisi Ni kuangalia benchmarks, benchmark nyingi maarufu kama cinebench, geek bench, passmark etc zinatofautisha score za single thread benchmark na multithread.
Vitu vinavyo fanya core kuwa na nguvu kushinda nyengine ni
-clock speed, yenye GHz kubwa ina nguvu kushinda GHz ndogo (factor nyengine zikiwa sawa)
-cache memory, zile l2 na l3 cache zikiwa kubwa na zenye speed na nguvu ya cpu inaongezeka
-architecture iliotumika (hizi generation)
-IPC ambayo ni kiasi gani cha instruction cpu inaweza fanya kwenye kila cycle (hizo GHz)
-manufacturing process ambayo jinsi inavyokuwa ndogo Ndio jinsi wanavyo jazia transistor nyingi kwenye cpu.
Sema kma unataka kununua laptop/PC flani na unataka kujua core yake ina nguvu kiasi gani angalia benchmarks kma Geekbench alaf angalia Single core score. Hii ndio score ya core mojaShukrani mkuu,haya mambo ni too technique!
ngumu kuiweka kwa exactly namba fulani na kila benchmark inatumia namba zake. na ipc haina cha laptop ama simu ama desktop,Kaka mambo ya cores pamoja na clock speed kwa sasa hivi nayapata vizuri lakini IPC bado.Je mpaka sasa hivi IPC kubwa kuliko zote kwa laptop ni ngapi na ndogo kupita zote ni ngapi ili niwe na average kichwani?
Dedicated Gpu ni graphics card ambayo ipo separate na processor, mara nyingi inakuwa ya Amd Radeon ama Nvidia,Hii ni nini mkuu.
Jaribu ku negotiateMkuu Hp probook G5 napata? Kwa 800K