Mkuu, ebu weka hata picha za hao kuku wenye unawaza 20 elfu each.Nina kuku wengi wakienyeji kutoka singida Nahitaji kupata namba za mtu anaenunua kuku hapa dar as salaam mfano kuku 40 kwapamoja na nimajogoo!!
NB: kuku mmoja 20,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upo wapi maana asa wakati huu iyo biashara iko 💥💥💥 nakushauri ulizia masokoni hata kule Mombasa gongo la mboto.
Haufahamu kama vyakula vya kuku ni gharamakuku elfu ishirini si bora ninunue mbuzi