Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhsanteSaa zipo zinapima mwendo vizuri tu ! Sema feki nyingi ila Nunua Oraimo uende kwa dealer kabisa wana saa nzuri za bei za kawaida kuanzia 80k
Mimi niliyonayo nilinunua 120k kwa hao hao Oraimo inakaa na chaji hadi siku saba kama imetumika intensively ! Kama umeunganisha na bluetooth unaitumia kupata notification hadi siku nne.
Haiitaji kukumbia na simu , hata ukiiacha inaonesha Umbali ulioenda
Pia unaweza download App inatwa Adidas Running ni ya Adidas wenyewe.
Inaitwaje mkuuKuna app play store hata kwa hiyo simu yako unaweza kujua umbali uliokimbia
Ahsante MkuuZinaitwa smart band, nzuri za bei nafuu ni Za Huawei/Honor model za zamani kama band 7 mpaka 65000 unapata Aliexpress, za Xiaomi pia unazipata around bei hii.
Kama unajiweza Samsung Galaxy Fit, Fitbit etc hizi andaa 150k+
Pia makampuni yameanza kutoa na Pete zenye same functions kama smart watch/band, ila bei bando ndefu sana.