Je, naweza kupata stahiki yoyote?

Je, naweza kupata stahiki yoyote?

ndoso

Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
30
Reaction score
13
Habari zenu ndugu zangu nilipata mkataba wa kazi katika kampuni fulani miezi 6 iliyopita lakini mwezi mmoja kabla ya kuanza kazi nikapewa barua ya kuvunja mkataba.

Je,kuna compasation yoyote naweza kupata kutoka hiyo kampuni sheria iko vipi hapo?
 
Back
Top Bottom