N ndoso Member Joined Mar 22, 2014 Posts 30 Reaction score 13 Jun 26, 2014 #1 Habari zenu ndugu zangu nilipata mkataba wa kazi katika kampuni fulani miezi 6 iliyopita lakini mwezi mmoja kabla ya kuanza kazi nikapewa barua ya kuvunja mkataba. Je,kuna compasation yoyote naweza kupata kutoka hiyo kampuni sheria iko vipi hapo?
Habari zenu ndugu zangu nilipata mkataba wa kazi katika kampuni fulani miezi 6 iliyopita lakini mwezi mmoja kabla ya kuanza kazi nikapewa barua ya kuvunja mkataba. Je,kuna compasation yoyote naweza kupata kutoka hiyo kampuni sheria iko vipi hapo?
N ndoso Member Joined Mar 22, 2014 Posts 30 Reaction score 13 Jun 26, 2014 Thread starter #2 jamani anayefahamu anisaidie