Je naweza kupata vifaranga bora wa kuku wa kienyeji Mbeya au Sumbawanga?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Ikiwa kama wewe, jamaa yako, kampuni, n.k unazalisha unazalisha vifaranga bora wa kuku wa kienyeji Mbeya au mjini Sumbawanga. Nahitaji kufuga. Ahsante.
 
Mkuu naweza kukutumia vifaranga bora wa kienyeji kutoka Dar, huwa tunatuma vifaranga maeneo mbalimbali nchini, nipe details zaidi ili nione ni vipi naweza kukupa huduma hii.
 
Mkuu naweza kukutumia vifaranga bora wa kienyeji kutoka Dar, huwa tunatuma vifaranga maeneo mbalimbali nchini, nipe details zaidi ili nione ni vipi naweza kukupa huduma hii.

mkuu naomba namba yako ya simu na mimi nahitaji vifaranga wa kuku wa kienyeji.
1.kifaranga mmoja unauza kwa shilingi ngapi?
2. Unauza kuanzia vifaranga wangapi?
3. Na kama mtu akichukua kuanzia vifaranga 200 hakuna discount?
tafadhali naomba majibu hayo tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…