Je, naweza kusajili jina la biashara na nisianze kupeleka kodi TRA?

Je, naweza kusajili jina la biashara na nisianze kupeleka kodi TRA?

Superfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
985
Reaction score
2,066
Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi.

Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN namba. Sasa nahofia naweza kuingia kwenye sakata la kodi ya mapato mapema wakat biashara bado haijaimarika.

Wataalamu mnielimishe kidogo kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom