Sio mimi mkuu, ila imekuwa ni habari nzuri kwangu pia.Nimeshapitia mkuu. Na nimefurahi sana. Kama mtu huyu ni wewe naomba tupeane mawasiliano unidokeze mambo kadhaa.
Au kama utaweza kuniruhusu kuuliza hapa (bila inbox) pia ni vizuri. Hii itakuwa ni faida kwa watazamaji
Mungu akijaalia Civil EngineeringWewe unataka kusomea kozi gani?