bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,221
HahahahaKuna vyuo vinapokea watu wa EGM kusoma engineering tena bila shida yeyote! Hayo mambo ya kusoma engineering lazima uwe na phy ni ya zamani!
Je ninaweza kusoma software engineering Kama advance nlisoma E
Kwanza unatakiwa uwe na adabu unapoita watu usio wajua "mdogowangu" unaweza kuta unamuita hivyo baba ako bila kujijua!Hahahaha
Mdogo wangu, kozi yoyote ya engineering huna phy na math a level huwezi kusoma huna sifa,
Usikariri dunia imebadilika.Huwezi pata
Narudia Tena huwezi pataUsikariri dunia imebadilika.
Upo sahihi ila kuna "matawi" mengine ya uhandisi ni lazima usome physics.Kwanza unatakiwa uwe na adabu unapoita watu usio wajua "mdogowangu" unaweza kuta unamuita hivyo baba ako bila kujijua!
Pili Unaongelea mambo usiyo yajua. Hivi ukifika chuo si wote mmnasoma hiyo phy ya form6 from scratch kwenye kozi inayoitwa engineering mechanics?
Achana na hiyo Nikupe mfano hai, kuna ofisi nnaijua ina injinia aliye soma egm na akaenda chuo kusoma engineering! Na huyu injinia ni moja kati ya mainjinia wanaotegemewa katika ofisi na mkoa kwa ujumla!
Kuna mwingine nnamjua yeye mpaka amesajiliwa kwa sasa professional engineer! Iko mifano mingi sana! Ila unatakiwa uache kukariri! Kitu cha muhimu katika engineering ni "pure mathematics" na mtu yeyote anaye jua hesabu anaweza kusoma engineering bila shida!
Wala sio matawi wala nini! Na hata kama yapo basi ni machache sana ila kwa kiasi kikubwa is not a case!Upo sahihi ila kuna "matawi" mengine ya uhandisi ni lazima usome physics.
Sio sahihiunaweza ila mzunguko n mrefu sana itabid uanze na NVA kwa miaka 3 ICT ukitoka apo ndio upge dploma miaka 2 then uende degree sasa miaka