Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Angalia voltage mkuu ama kusaidia zaidi piga picha hio adapter upande wenye maandishi yenye specs za adapter uweke hapa, wadau watakuangalizia kama inafaa kwa simu.Nina laptop unayotumia adapter ya USB type C na simu ya charger ya USB type C.
Sasa naomba kuuliza je naweza kutumia hii adapter laptop kuchhaji simu?
Kuna siku nilijaribu ila ofisini pale mtu mmoja akanitisha kua nitaua simu au itaungua ingawa alienipa tahadhari sio mtaalamu wa mambo ya umeme wala mtaalamu wa mambo ya simu na laptop.
Sasa naomba kuuliza wataalamu, je naweza kutumia adapter type c kucharge simu yangu?
Angalia voltage mkuu ama kusaidia zaidi piga picha hio adapter upande wenye maandishi yenye specs za adapter uweke hapa, wadau watakuangalizia kama inafaa kwa simu.
Kuna baadhi ya laptop zina processor kama simu hivyo zinashare adapter na simu.