Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

Hapana sio wote

Hautapata hicho kibaki kirahisi mkuu.
Utaambiwa uweke deposit/ dhamana yenye thamani ya deni la ushuru/ kodi inayodaiwa gari. Itakua ngumu sana kupata hicho kibali cha miezi mitatu.
 
Nashauri tutembelee tivuti husika za TRA Bara na Visiwani kujua ni nini hasa unapaswa kufanya kuliko kutoka kichwa kichwa na gari lako bila kujua taratibu za nchi husika ukanyolewa bila kupenda.
 

Jamani Mimi mnanichanganya at,ninachojua swala la fedha na mambo ya kodi ni swala LA Muungano sasa hayo mambo ya ZRB tena ndio nini huku tuna TRA??
 
Wandugu,

Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache.

Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa?

Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
Je? Unaweza kuvaaa chupi ya MKE wako kichwani na kutembea sehemu zenye watu wengi kama sokoni
 
Utapata kibali cha kutembelea miezi mitatu, hiyo sio kwa gari zenye namba za Zanzibar pekee bali gari zote zenye namba za nje ya nchi ndio taratibu yaani wamecategorize Zanzibar kama nchi ya nje
 
Utapata kibali cha kutembelea miezi mitatu, hiyo sio kwa gari zenye namba za Zanzibar pekee bali gari zote zenye namba za nje ya nchi ndio taratibu yaani wamecategorize Zanzibar kama nchi ya nje

Process zake zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…