Wana JF naomba msaada wenu.
Kuna ndugu yangu amenipa taarifa jioni hii, akitaka nimsaidie kuomwombea chuo TCU na mkopo HESLB, yeye yupo kijijini mbali sana.
Changamoto kubwa inayonikabili ni kukosa vyeti pamoja na pasport halisia. Hivyo nikawa na wazo la ku-print vyeti husika kutoka kwenye E mail yake; kwani alivutunza humo, kisha nipeleke mahakamani kwa taratibu zingine. JE KUFANYA HIVYO KUNARUHUSIWA???
Mchango wako ni muhimu sana na utaheshimiwa, kwa kuwa naamini hapa ni Home Of Great Thinkers.