Je, naweza kutumia ofa ya kiwanja au shamba kukopa benki?

Je, naweza kutumia ofa ya kiwanja au shamba kukopa benki?

Tabasamu3

New Member
Joined
May 18, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Naomba msaada wa mawazo.

Nina ofa ya shamba. Ni benki gani naweza kuitumia kupata mkopo?
 
Nafikiri be ki karibu zote zinapokea ndugu, nenda kwenye tawi husika utapata maelezo.


Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom