JE, NAWEZA KUWASHITAKI MAX MALIPO?

JE, NAWEZA KUWASHITAKI MAX MALIPO?

BLADSOME

Senior Member
Joined
May 12, 2016
Posts
195
Reaction score
72
Habari wana JF!
Jana (10/10/2016) nilinunua vocha kwa wakala wa Maxmalipo kiasi cha sh. 12000
Nilipata risit ya max malipo lakini kwenye line yangu sijaingiziwa vocha hiyo. Nimemueleza wakala akawapigia Maxmalipo wakasema kule hela imeshatoka hivyo mimi niwapigie Vodacom, na nilipowapigia vodacom wakaniambia suala hilo inabidi walishugulikie wenyewe Maxmalipo.
Hali hyo imenikwamishia kazi zangu nyingi sana, kwani biashara yangu inategemea sana internet!

Naomba ushauri nifanye nini kupata haki yangu?
 
Back
Top Bottom