Je naweza kuwashitaki TANESCO?

MNFUMAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
1,502
Reaction score
1,886
Kuna shida kwenye nguzo inayoingiza umeme kwangu. nilienda kutoa taarifa tar 2/4/2016 hadi leo hawajaja! nimerudia kutoa taarifa jana na leo. lakini hadi sasa hawajaja! hapa kwangu nina mashine ya kutotoresha bila shaka mayai yatakuwa yameshaharibika. naweza kuwashitaki? msaada jamani.
 
Unaweza kuwashitaki vizuriii kabisaaa but cha msingi kafungue mashitaka kwenye mahakama za Marekani na ukiwakonsat MCC wanaweza kukupa wakili.
Mahakama za Bongo hutoboi
 
Wanasheria mbona mnapita kimia kimia jamani? msaada tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…