Je naweza kuweka injini ya IST kwenye alteza?

Je naweza kuweka injini ya IST kwenye alteza?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Nina rafiki yangumambo yamemkalia kombo,anataka kuigeuza altezza yake kuwa bolt.
Lakini kwa injini iliyomo hawezi kupata faida,je anaweza kuweka injini ya IST?
Is it compatible??
 
Back
Top Bottom