Je, naweza nikapata jicho la bandia? Naweza nikalipata wapi na kwa gharama ya sh ngapi?

Hata pale KCMC wanafanya hiyo mambo niliwah kumpeleka hapo my bro walimwekea la mbuz cjui ila lako vizur mpaka Leo 13years now
mlitumia kama sh ngapi?

Sent from my Magnus bravoZ10 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana kaka.
Mungu akusaidie na kukusimamia vyema katika maisha yako.
 
Ndio maana mtwara ndugu wa mgonjwa waliamua kuwapiga baadhi yao hawajielewi kabisa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu,ila muhim uzima

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu utafanikiwà kwa uwezo wa Allah

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Naomba Mwenyezi Mungu akupiganie, akutie nguvu mpya na uponyaji na atusimamie sisi sote..
nimesisimka. Pole sana ndg, kila la kher nakutakia


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Maisha yanakuwa na thamani sana pale unapokuwa na uhai, sahau vyote ila uhai ndio kilakitu.
Sote ni binadamu so hakuna tofauti baina yetu, Pole sana bro.
Jaribu KCMC
 
Nenda pale ccbrt wana iyo Huduma mm nilipata matatizo ya jicho nilipofika muhimbili tu wakasema wang'oe lakin niligoma nikaenda pale wakanipa dawa japo cko sawa kama zaman lakin ile sababu iliyofanya wao waseme ning'oe imeisha ila iyo Huduma CCBRT wanayo 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, nimeskitika sn nilivyoona hyo picha na maelezo yako mkuu. Ungekua kwenye hospital za dar wasingekuacha ktk hali km hiyo. Jitahidi ufike CCBRT, mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi. Pole sn jamaa. Mungu yupamoja nawe
 
Pole sana brother. Fuata ushauri wa wadau naamini utafanikiwa [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…