Wakuu habar zenu,naomba ndugu zangu niwaulize
Nipo form5 PCM,maendeleo yangu mazur ya darasani yamenifaya kuingiwa na ndoto ya kusoma higher education nje ya nchi,je inawezekana mtu ukapata schorlaship ya engineering program (petroleum,civil,electrical,mechanical,industrial,software,chemical processing, or telecom eng) na kama inawezekana naomba munijulishe process zake,vigezo vyake na changamoto zake!! Asanteni