Je, naweza pata STI's baada ya kufanya oral sex kwa sekunde 15?

Je, naweza pata STI's baada ya kufanya oral sex kwa sekunde 15?

Cactus_assa

Member
Joined
May 26, 2021
Posts
58
Reaction score
100
Za jioni jamani na polen na harakati zote naomba msaada ya ishu imeni face

Ni hivi leo nilikutana na demu fulani hivi mida ya saa 2 asubuh sasa nikifany oral sex kwake kwa kama 15 seconds hivi.

Nauliza iv naeza pata STIs especially HIV japokua sikua na vidonda vyovyote japo jion hii ndiyo nimejiumiza kidogo mdomoni.

Msaada wenu unahitajika.

Natanguliza shukran
 
Ungekuwa mkweli tungekusaidia, alafu Kuna oral sex nyingi,nyie mlifanya ipi ?
 
Tafuta Mouth wash ya Listerine uwe unasukutua hadi kooni.Kupiga deki bahari ni kitu napenda kufanya.
 
Za jioni jamani na polen na harakati zote naomba msaada ya ishu imeni face

Ni hivi leo nilikutana na demu fulani hivi mida ya saa 2 asubuh sasa nikifany oral sex kwake kwa kama 15 seconds hivi.

Nauliza iv naeza pata STIs especially HIV japokua sikua na vidonda vyovyote japo jion hii ndiyo nimejiumiza kidogo mdomoni.

Msaada wenu unahitajika.

Natanguliza shukran
HIV sio rahisi kupata labda HPV na wenyewe ni noma
 
HIV sio rahisi kupata labda HPV na wenyewe ni noma
Screenshot_20220727-232657_Chrome.jpg
 
Mnafanya oral sex (puccy/dicck to mouth) + madenda mob, halafu unavaa ndomu kuchakata mbunye... ooh "tulifanya ngono salama nilivaa soksi".

Brainless creature!! 😎

-Kaveli-
 
Inzi kufia ndani ya glass kwa utamu wa bia.

Unsafe sex zinatumaliza vijana.

-Kaveli-
 
Inzi kufia ndani ya glass kwa utamu wa bia.

Unsafe sex zinatumaliza vijana.

-Kaveli-
...Duh! Mtu Hata Sio Mpenzi wako wa Siku nyingi, mmeshanyonyana vya kunyonyana! Halafu upone??
 
U people stop taking advantage of people's problems aisee mtu anakuj anaomb ushaur then mnaanza kukosoa ka yey ndo mkosaji peker u know what F**k y,all coz jana tumepima en she is safe as I'm.
 
Back
Top Bottom