Je, naweza tumia VISA yangu ya CRDB ku trade Forex?

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Wakuu naomba kujua kama CRDB wana accept pesa za kutoka Forex, make kama nisha wahi kusikia kwamba hawa accept, Ila sina uhakika mwenye uhakika anisaidie.

Naulozwa kwa ajili ya Kudepose na Ku withdraw pesa
 
Kama huna moyo wa kiume na Haujasoma na kuMASTER vizur forex nakushaur rudisha mguu kidogo nyuma endelea kupitia makaratasi ila kama umeiva vizur una capita na una MOYO WA KISHUJAA ingia tu.
 
Kama huna moyo wa kiume na Haujasoma na kuMASTER vizur forex nakushaur rudisha mguu kidogo nyuma endelea kupitia makaratasi ila kama umeiva vizur una capita na una MOYO WA KISHUJAA ingia tu.
Mkuu nisha pitia Makarayasi miezi 6, na pia ni wapi pasipo na risk? mfano mwaka huu mikoa kama Arusha watu wanakula hasara kubwa sana ya mazao basda ya mvua za masika kukosekana kabisa, hii yote ni risk, hivyo sioni pasipo kuwa na risk mkuu swala ni kutrade kidogo kidogo katika kujifunza na nataraji bado nitatumia miezi 6 tena kujifunza kwa sasa si trade sana kwa sababu ya kupata pesa kwa sababu najua fika ugumu uliopo
 
Kama huna moyo wa kiume na Haujasoma na kuMASTER vizur forex nakushaur rudisha mguu kidogo nyuma endelea kupitia makaratasi ila kama umeiva vizur una capita na una MOYO WA KISHUJAA ingia tu.
Na pia hii kitu haina fundi make hata watu walioko kwenye industry miaka na miaka still wanaliwa tu, kuliliwa kupo sana tena sana na kula kupo ingawa kuliwa kunaweza kukawa ni kukubwa kuliko kula
 
Jaribu kutumia crdb visa yako kufanya online payment yoyote ikikubali basi unaweza deposit

Ata mpesa visa unaweza deposit na uka withdrawal. Ila amount uliyoweka ndio broker ata ruhusu withdraw inakua kama refund kurudi kwako. Ukiitaji above itabidi uweke benki details zinazo match account yako.
 
Pia unaweza kudeposit fedha kwenye akaunti yako ya skrill toka benki kwa kutumia CRDB visa card then ukadeposit kwenye account yako ya forex kutoka skrill na kinyume chake pia.
 
CRDB wana accept pesa za kutoka Forex
Kiasi kile cha kwanza kufanya deposit kwa broker ndio kiasi hicho kitarudishwa kupitia kadi yako.

Kiasi cha ziada utakachopata inashauriwa utumie njia mbadala kukitoa, mfano waweza kutumia skrill kutoa.

Kiuhalisia haushauri kutumia kadi direct kutokana na usumbufu ambao huenda utajitokeza kwa siku zijazo.

Njia za kudeposit na kuwithsraw ambazo traders wengi wanazipendelea nakuzitumia ni zile za instant depost/ instant withdraw

Kumbuka withdraw kupitia kadi yako sio instant, huchukua siku 2 hadi 3 kupokea fedha.

Njia za instant katika kudeposit fedha na kuwithdraw kwa broker ni hiz.
#1. Skrill
#2. mobile [ Airtel/mpesa/Tigopesa]
#3. Kupitia crypto payment
Kwanjia tajwa hapo juu, fedha imechelewa kukufikia basi huwa ni dakika 3 hadi 5
 
Hivi pay pal inafunguliwa liniii nina 800$+ zinatakiwa ziingie umo
 
unaweza pia wapigia equity bank kuwa na uhakika.
 
Kama huna moyo wa kiume na Haujasoma na kuMASTER vizur forex nakushaur rudisha mguu kidogo nyuma endelea kupitia makaratasi ila kama umeiva vizur una capita na una MOYO WA KISHUJAA ingia tu.
Jibu swali uliloulizwa maana umejibu kitu ambacho ni out of topic, huu ndio ubaya wa Tanzania ujuaji mwingi sana and nani alikuambia ukishindwa wewe kitu na mwenzako atashindwa, ujuaji mwingi sana.
 
Wakuu naomba kujua kama CRDB wana accept pesa za kutoka Forex, make kama nisha wahi kusikia kwamba hawa accept, Ila sina uhakika mwenye uhakika anisaidie.

Naulozwa kwa ajili ya Kudepose na Ku withdraw pesa
Fungua account equity bank ndo wako vizuri kwenye online transactions
 
Achana na bank za kibongo kwenye forex.

Chagua bank moja upige nayo kazi[emoji123][emoji123]

1.EQUITY[emoji3581]
2.ABSA[emoji3581]
3.CBA[emoji3581]
4.UBA[emoji3581]
5.DIAMOND TRUST[emoji3581]
6.EXIM[emoji3581]
7.STANBIC[emoji3581]
 
yani mimi nishaconfirm bank kabisa equity ,absa na exim wako vizuri sana zilizobaki sijazifanyia uchunguzi ila naona zitakuwa vizuri. NMB,CRDB zitumie kupokelea mshahara tu na daily expenses kwa kuwa zinapatikana kila chocho ila kwa forex zikimbie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…