Je naweza ungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari?

kabasele

Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
91
Reaction score
34
Salaam,
Nawaza, Je naweza kuungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari? Lengo ni kuongeza hiyo speaker kwenye idadi ya speaker za gari. Msaada tafadhali.
 
Duh 🙄 Hiyo redio sio maalum kwaajili. Ya gari tafuta JBL speakers za magari zile underseat .

JBL boom. Box ni kwaajili ya indoor na outdoor ila sio uunge na mifum ya audio ya gari
 
Back
Top Bottom