Je naweza weka engine ya CC1290 gari iliyokuwa na CC990

Je naweza weka engine ya CC1290 gari iliyokuwa na CC990

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Wadau habarini.

Nina kamkweche kangu Kavitz. Kana Engine ya 1st fe Cc990.

Je, naweza kuweka engine ya Cc 1290.

Je ni vitu gani nitahitaji kubadilisha.
 
Wadau habarini.

Nina kamkweche kangu Kavitz. Kana Engine ya 1st fe Cc990.

Je, naweza kuweka engine ya Cc 1290.

Je ni vitu gani nitahitaji kubadilisha.
Yeah. Inawezekana kabisa.
 
Wadau habarini.

Nina kamkweche kangu Kavitz. Kana Engine ya 1st fe Cc990.
Ulishafanya utafiti ukakuta ist ina engine ya cc990?

Ist ina engine ya cc 1294(1300) 1NZ na cc1496(1500) 2NZ.
Engine unayoihitaji ya 2NZ inakaa vizuri tu, maana pia kuna vitz inakuja na hiyo engine kabisa, sio kwamba kila vits ina cc990.
Unachotakiwa uwe nacho hapo ni
2NZ engine, Transmissio Control pamoja na wayaring yake.
Usipoweka controo yake, jua itakusumbua kula kila siku, unaweza ukapaki sasa hivi baada ya muda ukawasha ikakugomea, au ikakupa miss ya kudumu.
 
Sijui ktu ila nachojua

Fuel consumption itaongezeka
Inaweza kusababisha vibration ya gari yako
Na mwisho kbisa inaweza kupaa(usiwe unaikanyagia sana)
 
Mwenzio huyo hapo mgongo wa chura umepachikwa 3500cc na umetulia
 
Wadau habarini.

Nina kamkweche kangu Kavitz. Kana Engine ya 1st fe Cc990.

Je, naweza kuweka engine ya Cc 1290.

Je ni vitu gani nitahitaji kubadilisha.
Ubadili na gearbox ikibidi gata differential excel
 
Back
Top Bottom