Wadau habarini.
Nina kamkweche kangu Kavitz. Kana Engine ya 1st fe Cc990.
Ulishafanya utafiti ukakuta ist ina engine ya cc990?
Ist ina engine ya cc 1294(1300) 1NZ na cc1496(1500) 2NZ.
Engine unayoihitaji ya 2NZ inakaa vizuri tu, maana pia kuna vitz inakuja na hiyo engine kabisa, sio kwamba kila vits ina cc990.
Unachotakiwa uwe nacho hapo ni
2NZ engine, Transmissio Control pamoja na wayaring yake.
Usipoweka controo yake, jua itakusumbua kula kila siku, unaweza ukapaki sasa hivi baada ya muda ukawasha ikakugomea, au ikakupa miss ya kudumu.