kennedy joshua
Member
- Sep 24, 2014
- 54
- 34
Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikushauri hata kidogo.Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
Kuanza kuweka gypsum kunaweza kukugharimu baadaye ikiwa fundi wako wa umeme hatakuwa makini katika kufanya kazi yake.Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana