Wakuu salamu.
Naomba kuuliza,hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder.
Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe. Hakuna namna ambayo naweza kupata season ikiwa ndani ya folder moja afu Mimi ni download ilo folder lote badala ya episode moja moja?
Hizo site kama zipo naomba kuzifahamu!