Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 99
Habari zenu Wakuu!
Nataka kuanza kuuza biashara ya ubuyu wa kupeki kwa bei poa kabisa, naomba msaada nawezapata wapi masoko ya biashara hii!! na je hii biashara inalipa!!? Naombeni ushauri mwenye uzoefu na hili tafadhali!!
Natanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano mtakaonipa.