Nawaza sana Nawaza sana nawaza nasipati majibu.
Nani alimtonya Mh Mpango abwage manyanga na akamsikia mapema nakung'atuka?
Alafu akakosekana Mzee wakukishauri kiti badala yake akasogeza kiti kweli?
Ina maana Mzee wangu Kikwete na weŵe ukatoa ushauri ambao umetuacha na giza nene kuliko mwanga. Hivi kweli mnasoma alama za nyakati au ndio mmeamua liwalo na liwe.
Ina maana nchi haina wazee na mzee ni mmoja JK na Wasira? Hicho chama ni chenu? Au cha wanachama?
Tena mh Mstaafu unasema wachawi wamekufa mtume mtume Karima inakuja
Kwa uwezo mdogo Mungu kanipa sioni picha nzuri kesho naona manyota nyota nawatu kuzimia ndani ya chama.
Sio furaha naona huzuni kwa jambo dogo tu Taifa lilipata msiba na ule msiba haukupangwa hivyo walio shika nchi walipaswa fuwata alichofanya Dr Mpango kuipisha Karima. End