Je, nchi inayoitwa Latin imewahi kuwepo duniani?

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,741
Pia kuna nchi zinaitwa latin america lakini ukiangalia ramani nchi inayoitwa Latin haionekani naombeni kujuzwa kuhusu hili wadau mana lugha yao ni moja ya lugha maarufu duniani na vitu vingi kisayansi utakuta vina majina ya ki Latin.
 
Walatini walitokana na wafarisayo ambao kwa upande mwingine waliwaita wakorintho wa kwanza ndo kizazi cha wasamalia kama tusemavo nmekutana na msamalia mwema kwani msamalia mbaya ni yupi halafu chupa ya maji imeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walatino ni kabila ambalo asili yake ni Italia miaka hiyo ya nyuma sana wakitokea katika kabila la kitaliano sehemu iliyoitwa latium. Kipindi kile cha utawala wa kirumi ulipokuwa uki teka na kutawala makabila mengine ulisaidia kusambaza tamaduni za kilatino.
Na hii baadaye ikaja kuwa inamaanisha kuwa ni muungano wa makabila ya kiitaliano ya Dacia,iberia,lliria na gaulo haya makabila ardhi yao ilikuwa imechukuliwa na wakoloni wa kilatin. Hivyo wote wakachukuliwa na kuunganishwa na tamaduni za kilatino.

Ila kabila lenyewe la kilatin lilikuwa na asili ya italia sehemu ambayo kwa sasa inaitwa Lazio.
Kwa hiyo walipeta hayo makabila mengine ndo wakayafanya yawe ya kilatin au kizungu latinizatio.

Mwishoni mwa karne ya 15 na 16 baada ya kuanguka utawala wa kirumi upande wa magharibi ureno,hispania na ufaransa wakaanza kuunda tawala zao.
Mpaka karne ya 19 yale yaliyokuwa makolono ya marekani yakaanza kufahamika kama latin america.nmejaribu kufupisha sababu naandikia kwenye simu.
 
shukrani sana nimepata mwanga sasa, na vipi kuhusu ile lugha ya mataifa kamaa hispania, mexico, venezuela, puerto rico sijui peru huko zinahusika na hao wa latino?
 
Pia kuna nchi zinaitwa latin america lakini ukiangalia ramani nchi inayoitwa Latin haionekani naombeni kujuzwa kuhusu hili wadau mana lugha yao ni moja ya lugha maarufu duniani na vitu vingi kisayansi utakuta vina majina ya ki Latin.
Me najua wale Latinas huwa wapo kwenye porns sijui zaid
 
Pia kuna nchi zinaitwa latin america lakini ukiangalia ramani nchi inayoitwa Latin haionekani naombeni kujuzwa kuhusu hili wadau mana lugha yao ni moja ya lugha maarufu duniani na vitu vingi kisayansi utakuta vina majina ya ki Latin.
Me najua wale Latinas huwa wapo kwenye porns sijui zaid
 
Walatino ni kabila ambalo asili yake ni Italia miaka hiyo ya nyuma sana wakitokea katika kabila la kitaliano sehemu iliyoitwa latium. Kipindi kile cha utawala wa kirumi ulipokuwa uki teka na kutawala makabila mengine ulisaidia kusambaza tamaduni za kilatino.
Na hii baadaye ikaja kuwa inamaanisha kuwa ni muungano wa makabila ya kiitaliano ya Dacia,iberia,lliria na gaulo haya makabila ardhi yao ilikuwa imechukuliwa na wakoloni wa kilatin. Hivyo wote wakachukuliwa na kuunganishwa na tamaduni za kilatino.

Ila kabila lenyewe la kilatin lilikuwa na asili ya italia sehemu ambayo kwa sasa inaitwa Lazio.
Kwa hiyo walipeta hayo makabila mengine ndo wakayafanya yawe ya kilatin au kizungu latinizatio.

Mwishoni mwa karne ya 15 na 16 baada ya kuanguka utawala wa kirumi upande wa magharibi ureno,hispania na ufaransa wakaanza kuunda tawala zao.
Mpaka karne ya 19 yale yaliyokuwa makolono ya marekani yakaanza kufahamika kama latin america.nmejaribu kufupisha sababu naandikia kwenye simu.
Gracias
 
Lugha ya kilatini iligawika vipande vipande na kuzaa lugha nyingi tu , mfano ; kireno, kihispania, kikatalan / kivalencia, kifaransa , kioccitan, kitaliano n.k (huko italia Kuna lahaja /lugha nyingi pia Ila kuu ni hicho kitaliano ambacho asili yake ni jimbo la Toscana).
Hizi zinaitwa lugha zenye asili ya kilatini kwa maana zinashabihiana. Amerika ya Kati mpaka ya kusini nchi karibia zote zinaongea kihispania kwa % kubwa , kireno na kifaransa (ukiachia mbali nchi moja inaongea kidachi /kiholanzi , Suriname, na nyengine zinaongea kingereza , Belize na Guyana) ndio maana likaitwa LATIN AMERICA kwa kuwa na lugha za kilatini.
Kwa Sasa kilatini Cha kileo kinazungumzwa Vatican tu na hamna nchi yoyote ambapo ni lugha rasmi ( huko Vatican kitaliano ndo lugha rasmi).
Nahisi nimesaidia kidogo.
 
Back
Top Bottom