kashande
JF-Expert Member
- Aug 18, 2016
- 438
- 281
Habarini ndugu wana Jf,
Huu ni uzi wangu wa pili kuandika. Leo katika pitapita zangu katika kitabu kitakatifu (Biblia),nimekutana na mambo ya kustaajabisha ambayo na mimi nashangaa kwamba je haya yaliyoandikwa karne zilizopita ndo yanatukia kipindi hiki au ndo mwisho unakaribia??
Naomba tushirikishane na mnizaidie katika kitabu hiki cha Wafalme...
1Wafalme 19: 11-12
(Akasema "Toka,usimame mlimani mbele za Bwana."Na tazama Bwana akapita. Upepo mwingi wa nguvu ukaipasua milima, ukaivunjavunja miamba mbele za Bwana; lakini Bwana hakuwepo katika upepo ule;na baada ya upepo, tetemeko la nchi, na baada ya tetemeko la nchi kukawa na moto;lakini Bwana hakuwamo katika moto ule; na baada ya moto sauti ndogo, ya utulivu.)
Haya matukio ya moto na tetemeko yametokea huko Bukoba, na upepo mkali uliovuma ukaleta maafa makubwa umetokea juzi huko Haiti mpaka upepo huo mkali ukaitwa "Matthew". Naombeni ufafanuzi juu ya haya.