Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
mmmmh hao wanaoenda kutafuta huko nje wanakua wameshajua tatizo ni nini?
Mungu anistiri lakini ntasubiri na ntajitahidi kutafuta mbinu nyengine lakini sio za kulala na mwanamme mwengine...
Msimamo imara wa mwanamke anaye jua kujithamini.Mungu anistiri lakini ntasubiri na ntajitahidi kutafuta mbinu nyengine lakini sio za kulala na mwanamme mwengine...
Jamani sitetei upuuzi huu, sasa ikiwa tumejaribu miaka 3-4 na hutaki kupima afya unategemea nini, kila mwanamke anahitaji kuwa mama one day, lazima njia mbadala itatumika.
Conclusion, acheni uwoga wa kucheck afya saa nyingine matatizo ni madogo, pili msiwaache mama na dada zenu kuwanyanyapaa wake zenu.

zingne zip?