Je, neno kudindisha ni matusi?

Je, neno kudindisha ni matusi?

Kuna ambao wakiona miwa wana dindisha meno, so ni neno la kawaida hilo.
 
.
Screenshot_2020-06-14-14-10-39.jpeg
 
Na huko ndo kunaleta maana nzima ya kiswahili ni kibantu..😜
 
Hapana inategemea limetumika wapi


Mfano kumdindishia mwalimu

Kumgomea mwalimu
 
Wasafi wamemharibu Harmonize

Amekuwa mtu wa kuimba lyrics za matusi kila akitoa wimbo mpya
 
Back
Top Bottom