Economist Jay Member Joined Feb 18, 2016 Posts 42 Reaction score 51 Jan 12, 2024 #1 Niliona BBC Swahili wameandika kichwa cha habari kwamba "kikosi cha Gambia kingefariki" walipokuwa wakieelekea Afcon, je hapa hili neno limetumika ipasavyo? Hapa wanamaanisha kikosi kina moyo?
Niliona BBC Swahili wameandika kichwa cha habari kwamba "kikosi cha Gambia kingefariki" walipokuwa wakieelekea Afcon, je hapa hili neno limetumika ipasavyo? Hapa wanamaanisha kikosi kina moyo?
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,813 Reaction score 21,807 Jan 12, 2024 #2 Kikosi = Watu = Mtu = Moyo.