jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,715
Kwenu wataalam wa lugha, huwa najikuta natumia au kusikia neno mbovu likitumia kwa nyakati tofauti moja likimaanisha mbovu( kwa mfano Taswira ilikuwa mbovu),Pili; na mara nyingine utasikia kwa mfano Huyu mchezaji ni m-bovu.
Je hili neno mbovu lina double meaning zinazokaribia kushabihiana?
Je hili neno mbovu lina double meaning zinazokaribia kushabihiana?