Hence maana mbili right?Mbovu ya kwanza ni tofauti na mbovu yapili.
Mbovu ya kwanza silabi mbo hutamkwa kwa pamoja na neno Lima silabi 2, mbo vu. na wakati katika neno lapili kuna udondoshaji wa irabu u.
Yaani neno ni mubovu kwahiyo u inadondoshwa na kubaki mbovu na silabi m hutakmwa peke na neno hilo kuwa na silabi 3 m bo vu.