Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,730
- 11,576
Ngugi wa Thiong'o ni mwandishi nguli wa riwaya na tamthiliya.miongoni mwa kazi ni:"this time tommorow" ,"weep not child"na "the grain of wheat".kitabu chake kilichofanya niandike uzi huu ni kile cha "devil on the cross"(shetani msalabani).
bila kupoteza muda niende kwenye point yangu,kwenye kitabu hiki mwandishi(Ngugi)anasema;"maendeleo ya dunia yote yameletwa na mwafrika,kila jiji kubwa,benki kubwa,nchi tajiri na kila aina ya maendeleo ya amerika,ulaya na asia yamejengwa na kupatikana kwa jasho na damu ya mtu mweusi(mwafrika)" je jambo hili ni kweli au tunajipa sifa za bure?
NB:nukuu hii ime generalize maelezo marefu.
%by Sir Khan.born 2 win%