Je, ni aina gani ya bajaji nzuri kwa biashara hapa Tanzania?

Je, ni aina gani ya bajaji nzuri kwa biashara hapa Tanzania?

Babapecha

Senior Member
Joined
Jul 23, 2019
Posts
177
Reaction score
150
Wadau wa jf ushauri wenu unahitajika aina ipi ya bajaji inafaa kwa matumizi ya biashara

Piaggio
Tvs
Bajaj
Re
Mahindra
N.k

Tupeane ujuzi kuhusu ulaji wa mafuta, spare pamoja na bei zake
images%20(16).jpg
 
Back
Top Bottom