Je, ni aina gani ya utapeli kati ya hizi unawapata wengi?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
1. Kumfata mtu pm na kuomba msaada kwakwe na hapo ataamua mwenyewe kusuka au kunyoa

2. Kusema ile hela tuma kwenye namba hii

Naomba kujua kati ya vitu hivyo hapo kama kuna namba nyingine ongezea ili tujue.
 
Ufafanuzi labda ya kwanza hapo mfano wake ni ule, umemfata mtu pm huwa unamuelewa sana, bwana huyu nikimfata fresh anaweza nisaidia kitu flani au ata harakati flani

Hiyo ya pili, unamfata mtu pm unaandika bwana wewe ile hela tuma kwenye namba hii jina litakuja flani
 
Hii mada mbona haieleweki eti mleta mada una lengo gani


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nina lengo la kutapeli, hapa kama nakuja pm mtu ata text hujibu na upo online lazima nifungue uzi, najua msaada hulazimishwi mjibu mtu asee hicho unachosema sina basi, mtu anajiskia vizuri anaondoka kiroho safi
 
Kwaiyo uzi umekosa wadau
 
@Tala tuma akiba,tukutumie mkopo wako dk 30 subiri kuwa mvumilivu unaposubiri uingiziwe pesa,

Allah atasema nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…