Karibu, siku nyingine kuwa makini na texts za aina hiyo.. haswa namba ambayo inatumika kwa ajili ya kutuma pesa na mawasiliano mengine kama hiyo ya hapo. Kampuni nyingi huwa hazitumii gmail zaidi hutumia mfano, it@sweetdream.info.tz. hiyo email yao imekaa kihuni sana kama kampuni.