maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
yako. inakuonyesha sura yako
Mi naipenda na Reddevil!
me ya kwangu ndio nzuri inabidi utumie akili kuielewa
me ya kwangu ndio nzuri inabidi utumie akili kuielewa
Ahahahaaah! Hivi avatar hazina expire date??Ya Katavi na BelindaJacob..nazipenda sana!!!
Ahahahaaah! Hivi avatar hazina expire date??
Hii kwenye jokes ndio mahali pake...jamani namtafuta Ndorobo: mara ya mwisho nilisikia anapatikana Same ya Kilimanjaro. Sijui imekuwaje hadi simpati tena kwenye mawasiliano. Ajuaye namna na mahali pa kumpata anijuze tafadhali.
Ni mrefu kidogo, mwembamba sana haswa kwenye mikono, anaongea taratibu ingawa si mpole, mkorofi wa kisiasa na anapenda Kilimo. Rafiki wake wa karibu alionekana zanzibarhivi Punde!
Nisaidieni katika hili: zawadi nono itatolewa!
Habari za asubuhi Wadau?
Leo Nimeona Tujadili Kuhusu Avatar,Ukiacha Avatar Yako mwenyewe uliyoiweka ni Avatar ipi nyingine unaipenda,Na sababu gani Kama kuna sababu,manake Avatar nyingine unaweza kuipenda hata kama huna sababu,mimi binafsi nilikua naipenda sana Avatar Ya Nguli ile ya zamani inamuonyesha Sharobaro mmoja hv Kavaa macheni,pete na Jersey ya Chicago Bulls......Je wewe unapenda Ipi? Nawasilisha wadau...